Kodi Kiganjani

Kodi Kiganjani
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Kodi Kiganjani.
Great app to get Tax notification and helps you to fill your Tax
KODI KIGANJANI ni application iliyobuniwa na kampuni ya MEM Technologies (IT Company) kwa kushirikiana na KINGSMAN ASSOCIATES (Tax consultancy) Kupitia mradi huu kila Mtanzania atakuwa na fursa ya kupata huduma kulingana na mahitaji yake.
HUDUMA ZIPATIKANAZO KWENYE APPLICATION HII
1. TAARIFA ZA KODI MBALIMBALI (Tax News)
2. USHAURI (consultancy) 24/7
3. KUKUMBUSHWA KULIPA KODI MBALIMBALI (Tax Payments Notifications)
4. HATUA ZA KUFUNGUA KAMPUNI (BRELA/TRA/Municipal)
5. KUKOKOTOA CHA KODI (Tax Calculator)
6. KALENDA YA KODI (Tax Calendar)
Faida za mradi huu ni pamoja na kuokoa muda kwa walipakodi, kutoa fursa kwa wananchi kuelewa zaidi kuhusiana na kodi na changamoto zao,pia kufanikisha watu kulipa kodi zao pasipo kuchelewa au kukwama.
Huduma ya KODI KIGANJANI itapatikana wakati wote masaa 24/7 .
KODI KIGANJANI inaleta mapinduzi katika namna ya utoaji wa huduma za kodi nchini kutokana na hatua kubwa iliyofikiwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano.
Enjoy with UptoPlay the online game Kodi Kiganjani.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: MEM Technologies
Recent changes: Your financial Guide
Page navigation: