Hatimae Channel App

Hatimae Channel App
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Hatimae Channel App.
Hatimae Channel App ni Program ambayo inakukumbusha kumjua mungu wakweli aliyeziumba mbingu na nchi ifanye kua ni rafiki yako,kiganjani mwako popote ulipo Hatimae Channel App itakuongoza kujua mabo mengi.
Enjoy with UptoPlay the online game Hatimae Channel App.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Mussa J. Lugembe
Recent changes: Hatimae Channel App
Ni program ambayo imekusudiwa kukupa baraka zinazopatikana kwa njia ya kusikiliza na kusoma.
Hapa utaweza kusoma,kusikiliza mahubiri pamoja na nyimbo za Injiri shirikisha wengine.
Utaona shuhuda za kutia moyo
Pia ndani yake kuna huduma zifuatazo:-
1. Kidds kona
2. Hatimae News
3. Mahubiri
4. Burudani
5. Nyimbo za Injiri
6.Tehama na mengineyo mengi utayapata ndani yake
Pia Programu inakupa dondoo za Afya.
Karibu na Shiriki pamoja nasi Kumwinua Yesu.
Page navigation: