Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu
Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu.
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website: www.mshindoveterinarycentre.com
NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
Enjoy with UptoPlay the online game Fuga Kibiashara-Mafunzo ya Ufugaji na Matibabu.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer:
Recent changes: Offline mode enabled
Added Social networks
Added Tanzanian Local Radios
Youtube channels enabled
Auto push notification - Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved
Page navigation:

