BongoSwaggz - Habari na Burudani Tanzania

BongoSwaggz
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game BongoSwaggz - Habari na Burudani Tanzania.
Install App Hii Maalumu Kabisa Uwe Karibu na Habari Pia Burudani Kibao kutoka Tanzania na Duniani Kote.
Mengine Kibao ni kama:
BongoSwaggz inakuletea stori za udaku na habari za mastaa wa bongo na nje.
Pia utapata videos kali za muziki, mahojiano ya wasanii na watu mashuhuri na vingine vingi uvipendavyo
Habari za siasa na matukio mbalimbali yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.
Jifunze pia mbinu za mapenzi & mahusiano bila kusahau vituko/vichekesho na habari za michezo
Pia unaweza kupata nyimbo mpya za bongoflava na burudani zote kwa kiswahili na taarifa kuhusu filamu na sanaa
Sikiliza Radio uzipendazo kutoka ndani na nje ya Tanzania BURE kabisa.
Enjoy with UptoPlay the online game BongoSwaggz - Habari na Burudani Tanzania.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: NAG Digital Solutions
Genre: News & Magazines
App version: 2.0
App size: 8.3M
Recent changes: - New Features
- Notification Sound/Vibration
- Share Content Easily
Comments:
I think it could be easy to look over video clips etc.
Ongezeni redio za Afrika mashariki Hasa kenya zinazotumia kiswahili mfano \n' +
milele fm
napata news makini kutoka bongoswaggz mpo vizuri
Its was Nice and Awesome App
Nimependa kila kitu kuhusu application hii inatoa habari nzuri pia nimesikiliza redio za bongo kiurahisi..
Page navigation: