Afya Comedy

Afya Comedy
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Afya Comedy.
Afya comedy ni jukwaa maalumu la ucheshi lenye lengo la kukuelimisha kuhusiana na maswala mbalimbali ya Afya kwa njia ya vichekesho kutoka kwa wachekeshaji mbalimbali.
-Jukwaa hili linatengeneza maudhui katika njia ya mijadala kwa namna ya kumvutia kila mmoja kusikiliza na kupokea ujumbe kwa kile anachohitaji kufahamu kuhusu afya yake pamoja na magonjwa mbali mbali.
-Katika jukwaa hili kila mmoja mwenye uwezo wa kuchekesha atapata nafasi kushiriki, lengo pia ni kuinua vipaji na kuwatengenezea vijana ajira katika nyaja hii ya sanaa.
-Mbali na ukurasa huu pia kipindi hiki kinaonekana kupitia TVE Tanzania kila jumatano saa 3:30 usiku, marudio ni alhamis saa 9:30 na jumapili saa 10:30 Alasiri
-Kwa msaada, maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia: +255757180994. Asante kuwa sehemu ya maendeleo yetu
Enjoy with UptoPlay the online game Afya Comedy.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: FaruTech Inc
Page navigation: