EnglishFrenchGermanSpanish
menu option
UptoPlay favicon

UptoPlay favicon


NYIMBO MPYA ZA INJILI play online

Play NYIMBO MPYA ZA INJILI APK

NYIMBO MPYA ZA INJILI

The official app & game

Distributed by UptoPlay

 

Play Online

SCREENSHOTS

DESCRIPTION

Use UptoPlay to play online the game NYIMBO MPYA ZA INJILI.

Nyimbo zote mpya za injili kutoka kwa kwa waimbaji wote wa injili wapya na wale maarufu ndani na nje ya nchi.
nyimbo mpya za injili kutioka kwa kwaya zote za kusifu na kuabidu na kumtukuza mungu
Mafundisho ya neno la Mungu kutoka vyanzo mbali mbali
Pakua nyimbo kwa mfumo wa audio na video pia utapata kutazama vido za mafundisho mbalimbali yatakayo kujenga na kukuimarisha kiimani.

Sikiliza nyimbo zote bora za injili kutoka kwaya na wasanii mbalimbali wa Gospel ndani na nje ya nchi. Shea upendo wa Mungu. nyimbo za injili mpya kabisa za nje na ndani. nyimbo za injili ni chakula cha roho, bwana yesu alisema, mtu haishi kwa mkate tu. Download nyimbo za injili na za kuabudu bila malipo yeyote. sambaza upendo wa mungu kwa watu wengine. Nyimbo za kwaya bora kabisa Tanzania kutoka kwa wasanii wa gospel kama:-
Bony Mwaitege
Goodluck Gozbert
Christopher Mwangila
Edson Mwasabite
Enoch Jones
Oliver Wema
Emanuel Mdongo
Pascal Kassian
Rose Muhando
Christina shusho
Jenifa Mgendi
Martha Mwaipaja
Martha baraka
Bahati bukuku
Nester sanga
Beatrice Halla
Beatrice Mhone
Flora Mbasha
nyimbo za dini za kusifu na kuabudu.




Enjoy with UptoPlay the online game NYIMBO MPYA ZA INJILI.

ADDITIONAL INFORMATION

Developer: MEDANI


Page navigation: