EnglishFrenchGermanSpanish
menu option
UptoPlay favicon

UptoPlay favicon


Mboka Ladies Shoes play online

Play Mboka Ladies Shoes APK

Mboka Ladies Shoes

The official app & game

Distributed by UptoPlay

 

Play Online

SCREENSHOTS

DESCRIPTION

Use UptoPlay to play online the game Mboka Ladies Shoes.

Maduka zaidi ya 1000+ kwenye App Moja Delivery Mikoa na wilaya zote Tanzania Pakua na Nunua bidhaa aina zote zisizo na kikomo Huduma kwa wateja iliyo tayri kukuhudumia Muda wowote

FEATURES
- Delivery chini ya masaa matatu ukinunua bidhaa zinazopatikana katika eneo lako.
- MINADA kila wiki nunua Viatu KWa Bei Rahisi
- Huhuma kwa wateja 24/7
- Refund ya haraka kukiwa na tatizo
-Viatu New na Mtumba Vinapatikana
- MZIGO UNATUMWA POPOTE TZ NA NCHI JIRANI

KUHUSU Mboka Ladies Shoes
Ni app mpya ya KItanzania Kwaajili ya Kuuza Viatu vya Kike vyenye Ubora wa Hali ya Juu


KUSAFIRISHA MIZIGO
Mizigo inasafirisha mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kwa gharam nafuu kabisa na kwa uhakika wa hali ya juu kabisa

MALIPO
Mboka inakubali malipo ya bidhaa Mitandao yote




Enjoy with UptoPlay the online game Mboka Ladies Shoes.

ADDITIONAL INFORMATION

Developer: SwahiliDoc

Recent changes: Version 1.21.1 #ASE
*BUY SHOES FOR wholesale
*Fix login issue
*Performance Improvement
FEATURES
Zaidi ya Maduka 1000 sehemu moja
*Nunua bidhaa karibia aina zote sehemu moja
*Mizigo inakufikia chini ya masaa matatu ukinunua mizigo inayopatikana
katika Eneo lako
*Huduma kwa wateja ya uhakika na haraka
*Uhakika wa kurudishiwa pesa yako kukiwa na tatizo
*Lipa Kupitia mitandao yote ya simu |TIGO | VODA | TTCL
| HALOTEL na AIRTEL
*Nunua Bidhaa Mpya na Used


Page navigation: