Ujasiriamali na biashara
Ujasiriamali na biashara
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Ujasiriamali na biashara.
Ujasiriamali na Biashara App ni App Bora na mahsusi kwa kijana yeyote mwenye ndoto na kiu ya mafanikio. Kupitia mafunzo mbalimbali yanayopatikana katika App hii, kijana utaweza kujifunza namna mbalimbali za kutengeneza pesa, kujiajiri wewe mwenyewe binafsi, kufahamu biashara za mtaji mdogo na zenye faida kubwa, kufahamu biashara zinazoendana na wakati n.k.
Ujasiriamali na Biashara App inakupa michanganuo mbali mbali ya biashara kwa aina yeyote ya mtaji ulionao. Kupitia App hii utajifunza mbinu 1000 za mafanikio, mawazo / wazo la kujiajiri.
Ni wakati sasa wa kuwa Mjasiriamali plus unaendana na wakati. Kupitia App hii ya Ujasiriamali na biashara yote yanawezakana, unaweza kujifunza na kuwa mfanya Biashara Plus kwa kutimiza mipango yako ya biashara.
Mwisho kupitia App hii utajifunza Kilimo Biashara ( Kilimo cha biashara) kupitia makala mbalimbali yanayochapishwa.
Enjoy with UptoPlay the online game Ujasiriamali na biashara.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: DiraJumla
Page navigation:

