Taarifa za Mkunga

Taarifa za Mkunga
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Taarifa za Mkunga.
kumbuka;
unahitaji kufungua akaunti kabla ya kuanza kutumia programu hii.
Maelezo ya jumla;
"taarifa za mkunga" ni programu inayotengeneza taarifa za mtandao wanawake wajawazito Tanzania.
wakunga wanaingiza majibu ya kila vipimo vya ujauzito kwenye programu iliyowekwa kwenye simu yake ya kupangusa.
Hii inasaidia kubadilishana data kati ya vituo vya afya na wakunga, kubadilishana kidigitali na kuwezesha uchunguzi wa sasa wa ujauzito mfumo ambao ni msingi wa karatasi, tata na machafuko.
Enjoy with UptoPlay the online game Taarifa za Mkunga.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Castalia Co., Ltd.
Page navigation: