Lucky Mastory
Lucky Mastory
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Lucky Mastory.
LUCKY MASTORY BRAND
Ni Brand Inayojihusisha/Shughurika Na Masuala Ya Hadithi, Simulizi, Tamthilia, Machombezo, Riwaya Na Vyote Vinavyohusiana Na Fasihi Yaani Fasihi Andishi Na Fasihi Simulizi. Lengo Likiwa Ni Kuelimisha, Kuburudisha Na Kuionya Jamii Juu Ya Mambo Kadha Wa Kadha.
Brand Hii Inayoongozwa Na GOODLUCK GERRARD VYAGOMBA Anayefahamika Kama LUCKY MASTORY Ilianza Rasmi Tarehe 20 JUNE 2019 Ila Platform Ya Website Na Application Ilifunguliwa Rasmi Tarehe 3 SEPTEMBER 2020.
Platform Ya LUCKY MASTORY Haifanyi Kazi Peke Yake Bali Inashirikiana Na Waandishi/Watunzi Wengine Katika Fani Ya Fasihi Ambao Nao Huweka Kazi Zao Kwa Lengo La Kuiwekea Wigo Mpana Tasnia Ili Kutambulika Zaidi Na Kuweza Kupata Kipato Kupitia Fani Ya Fasihi.
Kama Una Maoni Au Ushauri Unaweza Kuwasiliana Nasi Kwa Mawasiliano Yafuatayo:
Email: [email protected]
Whatsapp: +255 686 954490.
Enjoy with UptoPlay the online game Lucky Mastory.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: KaziHost
Genre: Books & Reference
App version: 1
App size: 2.9M
Recent changes: Version 1.0
Comments:
'Best'Page navigation:

