EnglishFrenchGermanSpanish
menu option
UptoPlay favicon

UptoPlay favicon


Ufugaji na Matibabu Vet play online

Play Ufugaji na Matibabu Vet APK

Ufugaji na Matibabu Vet

The official app & game

Distributed by UptoPlay

 

Play Online

SCREENSHOTS

DESCRIPTION

Use UptoPlay to play online the game Ufugaji na Matibabu Vet.

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya www.mshindoveterinarycentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website:
https://www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.




Enjoy with UptoPlay the online game Ufugaji na Matibabu Vet.

ADDITIONAL INFORMATION

Developer: Mshindo Media


Page navigation: