Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm
Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm
The official app & game
Distributed by UptoPlay
SCREENSHOTS
DESCRIPTION
Use UptoPlay to play online the game Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm.
Viwavijeshi wadudu wageni barani Afrika,asili yao ni bara la Amerika.Wadudu hawa hushambulia mahindi hasa mahindi machanga, lakini pia wana uwezo wa kushambulia mazao mengine kama vile Mtama, Uwele, Mpunga, Ngano, Miwa na hata mimea jamii ya mbogamboga.
Katika App hii, tutamzungumzia zaidi viwavi jeshi aina ya Fall ArmyWorm (Spodoptera frugiperda). Ambapo utajifunza jinsi ya kuwatambua, mzunguko wao wa maisha, athari zao kwenye mazao na namna ya kuwadhibiti.
App hii ya kitaalamu imeandaliwa mahususi kumsaidia mkulima, afisa ugani na mdau wa kilimo kuweza kumtambua mdudu huyu, dalili mbalimbali na hatimaye kujua wakati na namna sahihi ya kumdhibiti.
Enjoy with UptoPlay the online game Viwavijeshi Vamizi: Fall ArmyWorm.
ADDITIONAL INFORMATION
Developer: Jamii Data
Recent changes: App hii ya kitaalamu imeandaliwa mahususi kumsaidia mkulima kumdhibiti Kiwavijeshi Vamizi
Page navigation:

